Hekaya za Abunuwasi na Hadithi Nyingine

Hekaya za Abunuwas na Hadithi Nyingine ni mkusanyo wa hadithi za kusisimua. Hadithi zilizomo zimesimuliwa kwa ucheshi wa hali ya juu. Hadithi hizi, vilevile, zina mafunzo muhimu ambayo yatamwongezea maarifa msomaji. Maadili yametukuzwa huku ujinga na maovu yakitwezwa. Yeyote anayependa kusoma hadithi za Kiswahili atafurahia kuwa na nakala ya kitabu hiki.

Sub-title:
Author: Broomfield
ISBN: 978 9966 344 42 7
Country: Kenya
Publisher: Moran Publishers
Size (mm): 198×130
Pages: 174
Format: Paperback
Colour: Black & White
Weight 8.6 grams
Language: Swahili
Publication  Date: 2011
Weight 8.6 g
Dimensions 198 × 130 mm