Mti wa Milele

Kobe aliota ndoto kuhusu mti unaozaa matunda ya kila aina. Ke. mti huu upo? Je, siri ya kuupa mti huu ni ipi?

“Hadithi hii ni ya kuchekesha. Inatufundisha umuhimu wa kuwa wastahimilivu.”
– Vivian Jebet, mwalimu.

Kitabu hiki kinapatikana  katika chapisho la lugha ya Kiingereza, The Forever Tree.

The Magunga Bookstore
Wangari Grace (author)

 

Wangari Grace is a well known creative within the Kenyan artistic and educational circles. As a consummate storyteller, she leaves lasting impressions on her audiences with her animated banter, chants, sing along tunes and dramatic narration.

She is also the author of Mti wa Milele (a Swahili children book) which also has a English translation; The Forever Tree