Walenisi

Walenisi is a novel that about the days surrounding the judgment of DzomboDzombo is sentenced to death for crimes he did not commit. He ends up in Sayari, a space-ship/satellite that has been re-engineered and made into a giant incinerator, used for the quick, mass execution of criminals. Even so, instead of killing him, the ship allows him to escape from the death sentence and eventually takes him away from earth to another planet. What he sees there shocks him yet fills him with hope. Will Dzombo return to earth? Should he return, who and what will he have become?

Walenisi ni riwaya inayomswairi Dzombo katika siku zake za hukumu. Dzombo anahukimiwa kifo kwa sababu ya hatia bandia. Anang’oa nanga katika Sayari, chombo kinachopaswa kumwua kwa ghafla. Hata hivyo, badala ya kummmaliza, chombo kinamwepusha na hukumu hiyo, na hatimaye kumpeleka katika ulimwengu tofauti na autokao. Anayoyaona huko ni ya kushangaza lakini yenye matumaini. Je Dzombo atarejea kwao? Na akirudi atakuwaje?